Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Jay Dee ataja kinachomfanya aendelee kuwa bora

Jumanne , 21st Mar , 2017

Mwanamuziki Lady Jay Dee kutoka Tanzania amesema kitendo cha yeye kuto-lewa sifa ndiyo kimemfanya kuendelea ku-hit katika soko la muziki ndani na nje ya nchi mpaka sasa

Lady Jay Dee

Msanii huyo amedai kuwa hiyo ndiyo siri pekee iliyomfanya aweze kupita katika vipindi vyote vigumu mpaka leo hii bado yupo katika soko na kuendelea kufanya vizuri kila leo akiachia kazi yake mpya kwa kuwa sifa anazopewa kutoka kwa watu mbalimbali hazimlevyi.

“Ukifanya ngoma na watu wakakujua utakuwa staa lakini usilewe sifa ukilewa mapema utalala alafu utashindwa kuamka…ni miaka kumi na saba sasa, sijawahi kulewa na kila siku naona kama nahitaji kujifunza kitu kipya” Alisema Jay Dee.

Aidha msanii huyo alisisitiza kwa kusema kuwa amekuwepo kwenye muziki takribani miaka 17 bila ya kushuka katika muziki kwa sababu ya kuto-lewa sifa na kufanya vitu vya tofauti kila siku.

Kwa upande mwingine Jide amesema Machi 31 anatarajia kuzindua albamu yake mpya ambayo itakuwa ya saba tangu aanze kufanya muziki.

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa