Kushoto ni msanii Harmorapa, kulia ni Paula mtoto wa Kajala
Akizungumzia hilo kwenye kamera za EATV & EA Radio Digital, Harmorapa amesema amepost picha hiyo kwa ajili ya upendo na hakuna kingine ila anamuombea aendelee vizuri na masomo yake kwa sababu bado ni mwanafunzi.
"Ile ni akaunti yangu nipo huru kupost chochote ambacho najisikia ila nisimkwaze wala nisimtukane mtu, kwa hiyo ni upendo tu ulinifanya nipost ila simaanishi kwanza naomba tuiache kwanza hiyo mada naona imekaa sio ila cha msingi asome" amesema Harmorapa
Zaidi tazama hapa chini akizungumzia hilo.