Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Harmonize afungiwa safari kutoka Musoma mpaka DSM

Alhamisi , 8th Oct , 2020

EATV & EA Radio Digital, imefanya mahojiano na dada aliyejitambulisha kwa jina la Victoria Romanus ambaye ametoka Mkoani Musoma hadi Dar Es Salaam kwa lengo la kumuona na kutaka kufanya kazi ya uchezaji kwa msanii Harmonize.

Dada Victoria Romanus anayemtafuta msanii Harmonize

Victoria Romanus amesema yeye ni mgeni, na Dar Es Salaam amefikia maeneo ya Mbagala Mission kwa shangazi yake, hivyo anafanya kazi ya kuzunguka kwenye vyombo vya habari ili kupata msaada wa kuonana na Harmonize.

"Mimi nina kipaji cha sanaa ya uchezaji, nimetoka Musoma kuja Dar Es Salaam kwa dhumuni moja tu la kumtafuta Harmonize kwa sababu napenda kuwa mchezaji wake, kwa upande wa kutafuta nauli nilihangaika sana mama yangu alikuwa hana uwezo wa kunipa nauli, hivyo nikawa natunza pesa zangu mwenyewe huku nikifanya shughuli ndogondogo kwa mwezi mmoja ili nipate nauli ya kuja huku kumpata Harmonize" ameeleza 

Dada huyo hakuishia hapo kwani amefikia hatua ya kumwaga machozi kwa uchungu huku akisema anampenda sana Harmonize kuliko wasanii wote pia ndiyo shabiki yake mkubwa japo anakatishwa tamaa na watu kwamba hawezi kumpata msanii huyo.

Ziadi mtazame hapa chini akizungumzia hilo.

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa