Jumatatu , 6th Oct , 2014

Mkali wa michano Bongo, Fid Q amezungumzia ujio wa video ya ngoma yake ya Bongo Hip Hop, ambapo amesema kazi hii itafuta rekodi ya video zake kutokuwa na uzito wa kutosha kama ilivyo kwa ngoma zake za audio.

Fid Q

Fid Q ameweka wazi kuwa, sasa kwa njia ya kurasa zake za mitandano ya kijamii anaendesha zoezi la uchambuzi wa mistari ya Bongo Hip Hop, na ujio wa video yake utakuwa wa aina yake kutokana na kujipanga zaidi katika hilo.

Hapa Fid anafunguka zaidi.....