Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Ebitoke ananikata stimu" - Ben Pol

Jumatatu , 25th Sep , 2017

Msanii Ben Pol ambaye inasemekana alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mchekeshaji Ebitoke, sasa hivi anaonekana kumuepuka msanii huyo kwa sababu ambazo hazijajulikana kwa haraka, kitendo kinachoonesha kumuumiza kihisia Ebitoke.

Ben Pol ambaye alitafutwa kwa kipindi kirefu na mwandishi wetu na kufanikiwa kumpata kwa shida kutokana na ubize aliosema  anao kwa kipindi hiki, alipomueleza kwamba anataka kuzungumzia kuhusu Ebitoke na kwa nini hapokei simu za mchekechaji huyo, Ben Pol alijibu kwa mkato huku akisema kwamba 'issue' za Ebitoke zinamkata 'stimu'.

"Sasa hivi nipo 'busy' sana kwa sababu nafanya mazoezi ya 'show', lakini kiukweli habari za Ebitoke zinanikata 'stimu' kabisa, 'so' nikitulia naweza nikakucheki", alisikika Ben Pol akimjibu mwandishi wetu.

Wiki iliyopita Ebitoke alikuwa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, na kulalamika kuwa msanii huyo ambaye alikiri kuwa na hisia naye za kimapenzi sasa hivi hapokei simu zake, na wala hajibu ujumbe mfupi anaomtumia katika simu yake, hivyo akaomba watu wamsaidie kumuuliza Ben Pol, kwa nini amefikia uamuzi huo.

 

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu