mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania James Dupy
Dupy ameongezea kuwa, kila mwisho wa mwezi wa 7 atakuwa akitoa midundo bure kwa undergrounds hawa, ambapo watakuwa wakiifanyia kazi, na ile ambayo itadhihirisha uwezo wa underground husika, ataipatia nafasi ya kuifanya kikamilifu na kuitoa kama kazi rasmi, kwa ajili ya kumuinua msanii husika.