Jumanne , 3rd Oct , 2023

Mtangazaji Dullah Planet ametangaza kwa mara ya mwisho katika kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio baada ya kuamua kujipa mapumziko ya kutotangaza kwa muda fulani na kuanza maisha yake mapya nje ya East Africa Television Ltd.

Mtangazaji Dullah Planet

Zaidi tazama tukio zima hapa kwenye video Dullah akitangaza mara ya mwisho na kuaga ndani ya Planet Bongo.