Alhamisi , 13th Mei , 2021

Msanii wa Bongo Fleva Lameck Ditto (Ditto) amshukuru mtayarishaji wa muziki P-Funk Majani kwa kumpa nafasi ya kurekodi Bongo Records enzi hizi wakati anaanza safari yake ya muziki kwani ilikuwa ndoto yake.

Pichani kushoto ni Majani na Ditto kulia

Member huyo wa Watu Pori zamani, ame comment kwenye moja ya post za Majani kuelezea hisia zake juu ya mchango  mkubwa wa God Father huyo wa Bongo Fleva kumfanya afanikishe jambo lake.