Jumatano , 1st Nov , 2023

Kupitia mahojiano na Jimmy Kimmel Live msanii P Diddy amejibu tetesi za kutaka kupigana na Will Smith kutokana na madai ya mkewe Jada Pinkett Smith kutaka kuachanisha penzi la Jennifer Lopez na Diddy mwaka 2000.

Picha ya Diddy

Baada ya kuulizwa na Jimmy Kimmel Live kuhusu suala hilo #PDiddy amekanusha taarifa hiyo akisema hakuna ukweli wowote.

Taarifa hizo zililetwa na aliyekuwa mlinzi wa Diddy Gene Deal ambaye alidai Diddy alitaka kumpiga Will Smith na mkewe kwa madai ya kumfuatilia Jennifer Lopez.