
Picha ya Diamond Platnumz na Davido
Wawili hao wote wameshinda tuzo ya vipengele tofauti Diamond Platnumz akishinda 'Best Artist East Africa' na Davido ameshinda tuzo mbili 'Best Male' na 'Best Collaboration' kupitia wimbo wake wa Unvailable ft Musa Keys wa South Africa.
Diamond Platnumz na Davido tayari washafanya ngoma moja ya Number One Remix iliyotoka mwaka 2014.