Picha ya Diamond Platnumz na G Nako Warawara
Member huyo wa Weusi tayari ameshafanya kazi na Diamond Platnumz 'Komando' ambayo imeweka historia ya kufanya vizuri kwa muda mfupi kuliko nyimbo zake zote.
Zaidi tazama hapa kwenye video G Nako akimzungumzia Diamond Platnumz.