Darasa
Darasa amesema kuwa, alichokifanya katika video hii ambayo anaifananisha na muvi, ni kujaribu kulinganisha ukubwa ambao idea za ngoma zake zinakuwa zinabebwa na ubora wa muonekano wa kazi husika kupitia video.
Rapa Darasa ameamua kwenda sawa na kile ambacho mashabiki wanakitaka katika muziki wake, kwa kuweka nguvu ubunifu na ubora katika video ya rekodi yake ya Heya Haye ft Mr Blue, ambayo umeicheki kwa mara ya kwanza katika show kali ya FNL usiku wa jana