Jumatatu , 10th Jan , 2022

CEO wa lebo ya Konde Gang Music Harmonize amefanya 'party' kwenye mjengo wake wa Konde Village kwa ajili ya kumuaga Country Wizzy ambaye amesepa kwenye lebo hiyo.

Picha ya Harmonize na Country Wizzy

Kupitia Insta Story yake Harmonize ameandika kwamba "Asante kwa kuwakilisha gang kubwa kwa miaka miwili, nakutakia kila la kheri kafanye nijivunie".

Zaidi tazama hapa kwenye video akifanyiwa party hiyo.