Coco ambaye alitamba katika video ya wimbo uitwao 'Anna' akiwa na bendi yake hiyo ameiambia Enewz kuwa kuondoka kwake haimaanishi hatoiimbia tena bendi hiyo, kwani ni hivi karibuni tu aliweza kuitwa kupaform na bendi hiyo ilipofanya sherehe ya miaka 18 tokea kuanzishwa kwake.
Coco Chanel afunguka zaidi kupitia enewz kuhusiana na hili.









