Jumatano , 7th Feb , 2024

Dansa maarufu na msanii wa BongoFlava Chino Kidd 'Chino Wana Man' ameweka wazi kila kitu sintofahamu inayoendelea kati yake na Boss wake Marioo baada ya kudaiwa kuwa wana tofauti.

Picha ya Chino Kidd

Chino Kidd amefunguka hilo kupitia show ya Planet Bongo ya East Africa Radio, zaidi bonyeza video hapo chini kutazama.