
Chibwa wa Tanchy, staa wa muziki wa miondoko ya Dancehall nchini Tanzania
Kuhusiana na ukubwa wa rekodi hiyo, Chibwa amesema kuwa projekti hiyo nzito kabisa itagusia mabadiliko ya muziki kutoka analogia kwenda digitali akiweka wazi kuwa imeguswa na mtayarishaji muziki kutoka hapa Tanzania na Phras Twins kutoka Jamaica, projekti yenyewe ikiwa ni maalum kwa ajili ya kuziba pengo la ahadi ya awali aliyotoa kufanya ngoma na Beenie Man.
