Ijumaa , 6th Oct , 2023

Superstar wa muziki Africa Burna Boy amewa-diss mashabiki wa mtandao wa X akisema haupendi na watu wanaotumia mtandao huo baadhi yao wana wazimu.

Picha ya Burna Boy

Burna Boy anasema alidhani watu wa Nigeria ndio wana matatizo kutumia mtandao huo lakini amepita Kenya, South Africa na America wote wana wazimu pia ni janga la dunia nzima.