Jumatatu , 12th Dec , 2016

Msanii wa Bongo Fleva anayepanda kwa kasi hivi sasa kiasi cha kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa Afika Mashariki za EATV, Bright amezimwagia pongezi tuzo hizo.

Bright

Bright licha ya kutofanikiwa kushinda katika kipengele alichokuwa anawania cha Mwanamuziki Bora Chipukizi, ametoa shukrani zake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kampuni ya EATV Ltd kwa kuandaa tuzo hizo.

Bright anayetamba na ngoma ya Nitunzie, ameandika hiki.......

Tags: