Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Bob Junior amtaja mtu anayetakiwa kupendwa

Jumatatu , 19th Aug , 2019

Rais wa masharobaro Raheem Rummy "Bob Junior" amefunguka sababu zinazopelekea kuachana na wapenzi wake na mahusiano yake na staa wa filamu Kabula.

Bob Junior

Bob Junior amefunguka kuwa sababu za kuachana na wapenzi wake wengi kwa muda mfupi ni kuendana ambapo amesema,

''Mahusiano yakianza yanakuwa na nguvu kubwa, mimi ninachoangalia huwa kuna Bob Junior na Raheem kwa hiyo unakuta wanawake wengi wengi wanaingia kumpenda Bob Junior kwa sababu ni staa na wala sio Raheem ndio maana unakuta mahusiano yanavunjika".

Aidha Bob Junior amezungumzia suala la kuwa na mahusiano na staa wa filamu Kabula kwa kusema ni dada yake, rafiki yake hajawahi hata kum-kiss na amesema Kabula  amebadilika amekuwa mtu wa dini na amemtanguliza Yesu mbele.

Pia Bob Junior ameeleza kuwa amekuwa kimya kwa sababu alimua kusoma kwa siri nchini Finland alipo baba yake, na amefanya hivyo kwa manufaa ya familia yake, wazazi wake na kizazi chake cha baadaye.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa