Alhamisi , 5th Mei , 2022

Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dar es Salaam, Richard Hananja anasema Mwanamke ndio mwalimu mkubwa duniani na hakuna binaadam mwenye akili ya mwanaume kwa sababu saikolojia ya binaadam imepandikizwa na Mwanamke.

Picha ya Mchungaji Richard Hananja

Akizungumza na Mama Mia ya East Africa Radio Mchungaji Mstaafu amesema "Hakuna binadam mwenye akili ya mwanaume kamwe, wanaadam wote wana akili ya mwanamke tumepandikizwa na mwanamke kwenye saikoloji kuanzia msingi wa sifuri mpaka 7".

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia suala hilo.