
Jake Paul kushoto kulia ni Will Smith akimpiga kofi Chris Rock
Wawili hao wamezua gumzo mitandaoni kwenye tuzo za Oscar Marekani baada ya Will Smith kumpiga kofi mchekeshaji Chris Rock aliyefanya utani kwa kumcheka mkewe Jada Smith.
Ikumbukwe Jake Paul alitoa ofa ya Tsh Bilioni 69 kwa Kanye West na mchekeshaji Pete Davidson kupambana ulingoni raundi 6 ili kumaliza bifu lao kwa Kim Kardashian.