Ijumaa , 19th Jun , 2015

Staa wa muziki Belle 9, akiwa sasa katika maandalizi ya kufanya video ya ngoma ya 'Shauri Zao', amesema kuwa, ameamua kutumia muda mrefu kuufanya utafiti wa maeneo poa ya kufanyia kazi yake hiyo

Belle 9

Staa wa muziki Belle 9, akiwa sasa katika maandalizi ya kufanya video ya ngoma ya 'Shauri Zao', amesema kuwa, ameamua kutumia muda mrefu kuufanya utafiti wa maeneo poa ya kufanyia kazi yake hiyo baada ya kuona mfululizo wa video zinazofanana sana locations pia mawazo katika mzunguko sasa.

Belle 9 akiwa anajiamini kumudu ushindani kupitia harakati binafsi anazoziendesha hapa nchini, bila kuweka wazi moja kwa moja video hizo za wasanii zilizofanana, amekazia pia kuwa harakati hizo pia ni kwa ajili ya kuhakikisha kazi atakayofanya inafanana kwa karibu na ngoma
yenyewe.