Ijumaa , 6th Oct , 2023

Balozi wa Saratani Babuu Wa Kitaa ameshea nasi alivyopitia changamoto ya kuugua Ugonjwa wa Saratani kipindi cha nyuma kabla hajaanza kurudi katika hali yake ya uzima. 

Picha ya Babuu wa Kitaa

Msanii huyo na mtangazaji amesimulia kuugua kwake kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio zaidi bonyeza hapo chini kwenye video.