
Picha ya msanii Aslay
"Ni muda mrefu umepita, mengi yalizungumzwa lakini sasa ni wakati sahihi wa mimi kuzungumza". ameandika Aslay
Msanii huyo ambaye ni muandishi na producer pia kwa sasa amesainiwa lebo ya Sony Music Africa na kusimamiwa na Rock Star.