Jumamosi , 12th Nov , 2022

Msanii H Baba amefunguka kupitia show ya Friday Night Live ya East Africa TV na East Africa Radio amesema msanii Anjella kutoka lebo ya Kondegang baada ya kuambiwa kulipa Tsh Bilioni 1 na Harmonize. 

Picha ya Harmonize na Anjella

Zaidi mtazame hapa chini kwenye video H Baba akizungumzia taarifa hiyo na ugomvi wake na Harmonize.