Jumanne , 1st Nov , 2022

Msanii wa Bongofleva Tundaman amesema kwenye akaunti yake ya Benki kuna zaidi ya Tsh Milioni 50, kiasi ambacho kinamtosha yeye na familia yake.

Picha ya Tundaman

Zaidi mtazame hapa chini akizungumzia pesa hizo alizokuwa nazo kwenye akaunti yake.