
Mfanyabiashara aliyekamatwa

Kushoto ni Mweka hazina na kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa

Rais Dkt. Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Jumbi leo Februari 26, 2024 wakati wa ziara yake ya kusikiliza changamoto zao

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Sabasita, iliyopo Bunda Mkoani Mara, wakati wa ziara yake mkoani huko, Februari 26, 2024.

Mkuu wa mkoa wa Geita, Martine Shigela akizungumza katika hafla ya kuwakaribisha wahitimu 40 wa vyuo mbalimbali wasio na ajira ambao wamepatiwa fursa ndani ya GGML kupata mafunzo tarajali kwa muda wa mwaka mmoja sambamba na wahitimu 10 wa mafunzo huo kwa mwaka jana ambao wamepata ajira ya kudumu ndani ya kampuni hiyo.