
Baba Ntilie wa kituo cha mabasi cha Mbagala
Wakizungumza na Kurasa leo baba na mama lishe hao wamesema idadi kubwa ya wateja wanaowategemea ni abiria hivyo wakati ilipofungwa barabara hiyo mabasi yalikuwa hayaingii kituoni hapo hali iliyokuwa inawasabishia hasara kutokana na kutopata wateja.
“Kwa sasa tunaishukuru serikali imefungua hii barabara sasa mabsdi yanaingia kwa wakati nmyakiwa na abiria” amesema Mariam mama lishe katika kituo hicho
Kwa upande wake katibu wa kituo hicho, Yusuph Ismail, amesema mapato yameongezeka kwa sasa kutokana na idadi ta mabasi yanayoingia kituoni hapo kuongezeka.