Jumanne , 16th Aug , 2022

Zaidi ya watu nane wamepoteza maisha hii leo Agosti 16, 2022, kwenye ajali iliyohusisha magari matatu likiwemo lori lililofeli breki na kuparamia magari mawili eneo la Pipe line Inyala wilayani Mbeya.

Moja ya gari lililopata ajali mkoani Mbeya

Kamanda wa Polisi mkoani humo Ulrich Matei amethibitisha, kutokea kwa ajali hiyo.