Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Watanzania wapigwa ''Stop' kwa Afrika Kusini

Jumatatu , 20th Mar , 2023

Watanzania waishio Afrika ya Kusini wameonywa kutoshiriki kwa namna moja ama nyingine i na maandamano yanayoendelea katika nchi hiyo na badala yake wafuate sheria na taratibu za nchi hiyo.

Akizungumza kwa njia ya simu katika kipindi cha Supa Breakfast cha East Africa Radio, Balozi Meja Jenerali  Gaudence Milanzi, amesema maandamano hayo yaliyoitishwa na Chama kikuu cha Upinzani (EFF) cha nchini hiyo ya kumtaka  Rais wa nchi hiyo kujiudhulu  hayawahusu.

Akielezea sababu ya maanadamano, Balozi Milanzi ameweka wazi  ingawa hali ya uchumi nchini Afrika Kusini haipo vizuri, lakini mambo ya siasa pia yanachangia kwakuwa  uchaguzi mkuu wa nchi hiyo ni mwaka ujao hivyo kinachotengenezwa ni upenyo wa kufanya siasa kwa kutumia maandamano.

"Ni kweli hali ya maisha hapa sio nzuri sana , lakini pia kuna mgao wa umeme, sasa kwenye siasa ukiacha upenyo kidogo watu watatumia kama fursa.  Maandamano haya yamepewa jina la 'National Shut down ikiwa ni pamoja na watu kumtaka Rais Cyril Ramaphosa kujiuzulu kwa sababu ya hali ya uchumi pamoja na mgao wa umeme na mengineyo kama hayo”.

Ameeleza pamoja na kwamba maandamano ya amani nchi Afrika ya Kusini wanayatambua, waandamanaji wamepewa onyo la kutowalazimisha watu wengine kuandamana ka kuwazuia kwenda kufanya shughuli zao za kiuchumi ndio maana vyombo vya usalama vipo makini katika kusimamia hilo halifanyiki.

Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote kama kuna athari imetokea kwa mtanzania yoyote, na kwamba bado wataendelea kufuatilia  kujua hali za usalama wa Watanzania.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa

Rajab Abrahaman Abdalah, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga

CCM Tanga yaijibu CHADEMA kuhusu huduma za kijamii

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa