Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tyson ateketeza mamilioni ya pesa kwenye bangi

Jumatano , 14th Aug , 2019

Bondia maarufu Duniani Mike Tyson mwenye miaka 53 kwa sasa, amefunguka suala lake la kahamia katika biashara ya bangi pamoja na matumizi ya bidhaa hizo.

Licha kustaafu mchezo wa ngumi mwaka 2005, Bondia huyo amekuwa ni mtangazaji wa kipindi cha “Hotboxin with Mike Tyson” pamoja na mshirika mwenziye aitwaye Britton ambapo amesema, “huwa tunatumia kiasi cha Milioni 91 za Tanzania katika utumiaji na uvutaji wa bidhaa hizi za bangi, pia tunatumia tani 10 kwa mwezi kwenye bangi tu, ni bangi nyingi sana kila sekunde lazima tuwe nayo”.

Aidha Mike Tyson ameeleza kuwa ana shauku kubwa ya kuingia katika biashara hiyo ya bangi na tayari ameshanunua ekari 40 kwa ajili ya kuzalisha bidhaa hizo ambazo zitaitwa Tyson Ranch na itapatikana Jijini California.

Pia ameendelea kwa kusema wameshawekeza kiasi cha bilioni 1 katika kukuza, kuzalisha, kusambaza kutangaza biashara hiyo.

Watu wengine maarufu ambao wameingia katika biashara hiyo ya bangi niJay Z, Snoop Dogg, Wiz Khalifa na Ray J.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani