Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tarehe ya Uchaguzi Serikali za Mitaa yatangazwa

Ijumaa , 23rd Aug , 2019

Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Selemani Jaffo ametangaza tarehe rasmi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019.

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jaffo

Ameyasema hayo hii leo, Agosti 23 Jijini Dodoma wakati akitoa maagizo kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa na Viongozi mbalimbali kuelekea uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Ikiwa ni miezi minne imebakia kabla ya kumalizika kwa mwaka 2019, Waziri Jaffo amesema kuwa uchaguzi huo utafanyika, Novemba 24, ambapo zoezi la kupiga kura litaanza saa 2:00 Asubuhi hadi saa 10:00 Jioni.

Kampeni za uchaguzi zitafanyika siku saba kabla ya siku ya Uchaguzi, na kila chama kitakachoshiriki uchaguzi kitawasilisha ratiba yake ya Kampeni, si chini ya siku 7 kabla ya kuanza Kampeni.

Ofisi ya Mkoa ndiyo itakuwa Mratibu Mkuu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa husika, ambapo Halmashauri za wilaya zitawajibika kuratibu Uchaguzi kwa mujibu wa maelekezo yaliyoonyeshwa katiia Mwongozo”, amesema Selemani Jaffo.

Kwa mujibu wa Kanuni hizi, viongozi waliochaguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita, ukomo wa Uongozi wao utakuwa ni siku 7 kabla ya siku ya kuchukua fomu kuanza", ameongeza.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea