
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi
Prof. Kabudi ameyasema hayo leo bungeni wakati akiwasilisha mpango na bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2021/2022, ambapo ameeleza kuwa jumla ya sheria kuu 400 zinatafsiriwa.
''Mhe. Naibu Spika zoezi hilo limeshaanza na tayari zaidi ya sheria kuu 157, na sheria ndogo zaidi ya 15,000 zimeshatafsiriwa'', amesema Kabudi.
Aidha amebainisha kuwa zoezi hilo linatarajiwa kukamilika Juni 2022.
Zaidi tazama video hapo chini