
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Asina Omari akifunga mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 23

Mkuu wa Idara ya Mafunzo na Ujuzi, Albert Rukeisa (kushoto) akizungumza na Meneja Mwandamizi wa masuala ya Rasilimali watu kutoka GGML, Charles Masubi (kulia) katika hafla ya kuwakaribisha wahitimu 40 wa vyuo mbalimbali wasio na ajira ambao wamepatiwa fursa ndani ya GGML kupata mafunzo ya vitendo kazini kwa muda wa mwaka mmoja.

Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa

Makamo wa Rais Dkt. Philip Mpango

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitoa maelekezo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kusimamisha mishahara kwa viongozi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa