Jumanne , 25th Mei , 2021

Waziri ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, ameongoza kikao cha mabalozi wa Afrika ikiwa leo Mei 25, ambayo ni siku ya Umoja wa Afrika.

Waziri ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula pamoja na mabalozi wengine.

Katika Kikao hicho cha mabalozi Waziri Mulamula amesema Kiswahili kimepitishwa kuwa lugha rasmi ya mikutano yote ya Umoja wa Afrika.

Zaidi tazama video hapo chini