Rais Magufuli akisalimiana na viongozi na watendaji waliojitokeza kumpokea katika ikulu ya Chamwino
Mhe. Dkt. Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ataongoza kikao na mikutano hiyo kuanzia tarehe 10 - 12 Machi, 2017 Mjini Dodoma.
Mhe. Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli amewasili katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma akitokea Mkoani Morogoro ambako jana tarehe 06 Machi, 2017 alizindua uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere.
