Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Prophet Bushiri, mkewe kizimbani kwa utakatishaji

Jumatano , 21st Oct , 2020

'Prophet' ambaye ni Bushiri kiongozi wa kanisa la Enlightened Christian Gathering na mkewe wamefikishwa Mahakama maalum ya uhalifu wa kibiashara Jijiji Pretoria nchini Afrika Kusini Jumatano ya leo, Oktoba 21, 2020.

'Prophet' Bushiri na mkewe

Hartua hiyo imefuatia baada ya kutiwa mbaroni hapo jana Jumanne kwa tuhuma za utakatishaji fedha kiasi cha Randi Milioni 102 sawa na fedha za kitanzania zaidi ya Bilioni 14.

Bushiri na mkewe walikamatwa nyumbani kwao baada ya kudaiwa kujaribu kuikwepa timu maalum ya Hawks iliyokuwa ikiwasaka, hivyo baada ya kukamatwa waliongozana na timu hiyo kuelekea kituo cha polisi cha Silverton na kikundi cha mawakili wao, amesema Msemaji wa Hawks Kanali Katlego Mogale.

Taarifa ya kanisa la Enlightened Christian Gathering ambayo ilitolewa kabla ya kukamatwa, inasema kwamba waliarifiwa na Mawakili wa Bushiri siku ya Jumatatu Alasiri kuwa Hawks waliomba kiongozi wao afike katika ofisi zao kuhusiana na uwekezaji wake unaohusiana na kampuni inayoitwa Rising Estate

Hii ni kesi ya pili ya utakatishaji fedha ambayo eerikali inafuatilia dhidi ya Prophet ambaye anayetajwa kuwa miongoni wa Wachungaji tajiri zaidi wa bara la Afrika.

HABARI ZAIDI

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP