Nyumba iliyoteketea kwa moto
Moto ambao mpaka sasa chanzo chake hakijafahamika umeteketeza nyumba hiyo bila chochote kuokolewa huku wananchi wakidai zimamoto wamekawia kufika na hata walipofika hawakuweza kufanya chochote kwa kuwa gari lao lilikuwa bovu.