Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Nilijinyima na familia yangu" - Makonda

Jumamosi , 19th Mei , 2018

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema atachukua hatua kwa viongozi wa michezo ambao hawajafanya marekebisho ya uwanja wa Taifa wa ndani 'indoor' licha ya kuwakabidhi pesa na vifaa mwaka jana.

Makonda amesema Mei 18, 2018 wakati akiongea na waandishi wa habari na kuongeza kuwa alikubali kujinyima na familia yake ikae gizani kwa kutoa jenereta la nyumbani kwake ili kutimiza ahadi ambayo aliwahidi wanamichezo hao lakini imekuwa kinyume na mategemeo.

Lile jenereta nililihamisha badala ya kuwepo nyumbani kwa mkuu wa mkoa nikalikabidhi mwaka jana, sasa kama mpaka leo hii halijaenda basi kutakuwa kuna shida mahala, na niwaambie tu siwezi kuahidi kitu nisifanye hata kama ni cha kwangu nitajinyima, nimeinyima familia yangu wakae gizani ili nihakikishe kwamba jenereta linakwenda kwa wapenzi wa mpira” amesema Makonda.

Makonda ameongeza kuwa atawasiliana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa ili aweze kuwachukulia hatua watu ambao wameshibdwa kutimiza majukumu yao

Mkuu wa Mkoa Makonda amesema mwaka jana alikabidhi pesa, mipira, mabati na jenereta ili kusaidia uwanja wa Taifa wa ndani uliokuwa katika hali mbaya na hivyo anashangaa kusikia bado hakuna kilichofanyika mpaka sasa.

HABARI ZAIDI

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri