Jumatatu , 1st Aug , 2016

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Beno Ndulu amesema Tanzania ni nchi ya sita duniani kwa kuwa na Idadi kubwa ya watumiaji simu katika miamala ya kifedha

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Beno Ndulu amesema Tanzania ni nchi ya ya sita duniani kwa kuwa na Idadi kubwa ya watumiaji simu katika miamala ya kifedha

Akizungumza mara baada ya Kufungua mkutano wa Taasis za kibenki unaowakutanisha zaidi ya wafanyakazi 120 kutoka nchi za Afrika Mashariki kujadili maadili,na ufanisi katika utendaji Beno Ndulu taasis hizo zijadili namana ya kuwafikia wananchi wengi zaidi katika maeneo ya vijijini ikiwa ni pamoja na namna ya kuwapa mikopo kwa gharama nafuu.

Ndulu anasema Tanzania imefanikiwa kuwafikia wananchi wengi katika huduma za kifedha huku ikiwa ni nchi ya kwanza baran Afrika katika matumiz ya simu katika miamala