Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ndugai aomba kupatiwa mabwawa manne Kongwa

Jumapili , 27th Sep , 2020

Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi,(CCM), Jimbo la Kongwa Job Ndugai, amewasilisha ombi maalum la wanakongwa kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu la kuwatengenezea mabwawa ya maji katika wilaya yao.

Picha ya Mabwawa.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni Kongwa leo Septemba 27, Ndugai amesema wilaya hiyo ina maji mengi ya mvua ambayo yatasaidia kwenye kilimo cha kiangazi.

"Tunalo ombi maalumu, wilaya hii ya Kongwa tuna maji mengi sana ya mvua yanayopita, tukipata mabwawa kama manne hivi makubwa suala la kilimo cha kiangazi litakuwa ni katika sehemu kubwa sana ya uchumi wa eneo hili” alisema Job Ndugai

Aidha Ndugai aliendelea kuwasihi wanakongwa kujitokeza siku ya kupiga kura kwa ajili ya Chama cha Mapinduzi, katika ngazi zote nchini.

Lakini cha muhimu ni kile kichinjio chetu 28/10 kupiga kura kwa Chama cha Mapinduzi si Kongwa tu, mkoa mzima na nchi nzima"alisema Job Ndugai

HABARI ZAIDI

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu