Alhamisi , 22nd Sep , 2022

Mzee Jackson Lukondo mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kukutwa kichakani akimlawiti mwanafunzi wa kiume wa shule ya msingi Masawe mwenye umri wa miaka 14 na kisha kumtishia kuwa atamuua pindi atakaposema kama analawitiwa.

Wananchi wa Kijiji cha old Misungwi

Akizungumza na EATV mtoto huyo amesema mzee huyo amekuwa akimdanganya anamfundisha tohara inavyofanywa kisha anamuingilia kinyume na maumbile hadi mara hii alipokutwa kichakani na mashuhuda.

Kwa undani wa taarifa hii usikose kutazama EATV Saa 1 leo Septemba 22, 2022.