Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mwanza ya pili kwa mapato nyuma ya Dar 

Jumapili , 17th Oct , 2021

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema serikali imeendelea kutoa fedha za miradi mbalimbali ya maendeleo katika jiji la Mwanza lengo ikiwa ni kuboresha zaidi mkoa huo ambao unashika nafasi ya pili kwa kuiingiza nchi mapato nyumba ya Dar es Salaam.

Mwamba wa Bismack uliopo jijini Mwanza

Ameeleza hayo leo Oktoba 17, 2021 wakati akitoa taarifa ya wiki ya Serikali akiwa jijini Mwanza.

''Mwanza ni Mkoa wa pili nchini kuchangia fedha nyingi katika pato la Taifa, mwaka 2019 makusanyo ya mapato yalikuwa Sh Trilioni 10.2 na hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.35% na mwaka 2020 yalikuwa Trilioni 10.9 hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.38.8%,'' ameeleza Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali.

Ametaja moja ya miradi mikubwa jijini humo ni soko kuu la kisasa linaloendelea kujengwa. ''Tunajenga Soko la Kisasa Mjini ambapo zimeshaletwa Sh Bilioni 8, hadi kukamilika utagharimu Bilioni 20.3, zimeletwa Bilioni 4.5 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Abiria kwenye uwanja wa Mwanza ambapo ujenzi ukikamilika utagharimu Shilingi Bilioni 13.3”.

Tazama Video hapo chini akieleza zaidi

HABARI ZAIDI

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu