Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Muuaji Kibiti auawa.

Jumatano , 13th Sep , 2017

Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam limempiga risasi na kumuua muhusika wa matukio ya mauaji mbali mbali yaliyotokea mkoani Pwani yakiwemo mauaji ya watu Kibiti, pamoja na wizi katika baadhi ya benki hapa nchini.

Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Kanda maalum jijini Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kivule Chanika, ambapo polisi ilimjeruhi Annae Rashidi Kapela maarufu kwa jina la Abuu Mariam alipokuwa akijaribu kukimbia, na kufariki dunia akiwa njiani wakimpeleka hospitali.

"Askari walipojaribu kumsimamisha aligeuka na kuanza kukimbia, askari walifyatua risasi na kumpiga kwenye goti, alipokamatwa jambazi huyo alitaja mlolongo wa matukio yaliyowahi kuyatekeleza, jambazi huyo amekiri kushiriki kwenye tukio la askari walioawa pale Mbande CRDB, uvamizi wa NMB Mkuranga, Access bank Mbagala, kule Kibiti ambapo askari 8 waliuawa na silaha  kuchukuliwa", amesema Kamanda Mambosasa

Kamanda Mambosasa aliendelea kusema kwamba baada ya jambazi huyo kukamatwa alihojiwa na kutaja baadhi ya wahalifu anaosaidiana nao kwenye uhalifu, na baada ya kumaliza kumuhoji alichukuliwa kuwahishwa muhimbili na kufariki dunia akiwa njiani.

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa