Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mkuu wa wilaya 'ashangazwa'

Jumanne , 14th Nov , 2017

Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwl. Herman Kapufi ameshangazwa na jitihada binafsi zilizofanywa na wachimbaji wadogo katika kata ya Nyarugusu wilayani hapo baada ya kushirikiana na serikali ya Kata kufanikisha ujenzi wa shule.

Wachimbaji wadogo kwenye Kata ya Nyarugusu na Serikali ya kijjiji na kata  hiyo wameshirikiana kuchangia ujenzi wa madarasa manne na ofisi 2 za walimu kwenye Shule ya Msingi Tologo.

Mkuu wa wilaya alifika shuleni hapo kujionea jitihada za kuboresha miundombinu ya shule ya Tologo ambayo madarasa yake yaliharibiwa na mvua zilizoambatana na upepo hali iliyopeekea kubaki darasa moja tu.

Kiongozi wa wachimbaji hao Bw. Evarist Pascal alimweleza mkuu wa wilaya kuwa kutokana na kuwepo kwa hali ambayo ilisababisha wanafunzi kusomea madarasa ambayo yalikuwa yameezuliwa na mvua walionelea ni vyema wakichangia ujenzi huo hili  watoto wapate sehemu nzuri ya kujisomea.

Bw. Evarist amemwambia mkuu huyo wa wilaya kuwa ujenzi wa madarasa hayo pamoja na ofisi za walimu umegharimu kiasi cha  Sh, Milioni 56 ambazo zimechangwa na wachimbaji wadogo kutoka katika machimbo ya dhahabu ya Nyarugusu.

Kwa upande wake mkuu wa wilaya Mwl. Herman ameeleza kushangazwa na uzalendo ambao umeoneshwa na wachimbaji hao kwa kuchangia ujenzi wa miundombinu hiyo huku akiahidi kutoa ushirikiano kwenye ujenzi wa Zahanati ya kitongoji cha Tologo ambapo hadi sasa wachimbaji hao wamefyatua tofali 3,000.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani