Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Meya amjibu Makonda, asema sheria lazima ifuatwe

Alhamisi , 15th Aug , 2019

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta amesema, kilichocheleweshwa kuanza kwa ujenzi wa ufukwe mpya wa Coco ni kufuatwa kwa sheria za manunuzi pamoja na mabadiliko ya mchoro uliosababishwa na ujenzi wa daraja la Selander.

Sitta ameyabainisha hayo kufuatia agizo lililotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuitaka na kuipa Manispaa hiyo mwezi mmoja ili ihakikishe inaanza ujenzi wa  mradi huo mara moja.

''Hii miradi ya mkakati tunafuata sheria 'to the dot' maana yake ukikosea kidogo mkandarasi mwingine anaenda kukata rufaa na wakikata rufaa mnaweza kukaa siku tisini zingine sababu sheria hazikufuatwa, lakini vilevile inaweza kuonekana mnafuata matakwa yenu binafsi, kwahiyo sheria zetu za manunuzi zinatubana sana kwahiyo muda wote ambao mmeona umechelewa ni taratibu na sheria za manunuzi'', amesema Meya Sitta.

Mradi wa ujenzi huo utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 14 na tenda ya kumtangaza mkandarasi atakayeanza ujenzi huo  itatangazwa Agosti 19, 2019, ili kuanza ujenzi huo mwishoni wa mwezi huu na ujenzi utakaochukua miezi sita.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa

Rajab Abrahaman Abdalah, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga

CCM Tanga yaijibu CHADEMA kuhusu huduma za kijamii

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa