Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Muraikhi mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.