Picha ni eneo la tukio huko Kenya
Baada kutekeleza tukio hilo la mauaji aliandika barua iliyokuwa na ujumbe ambao ulieleza kuwa mkewe alikuwa amemuambukiza VVU/UKIMWI kufuatia kuchepuka na mwanasiasa wa eneo hilo kisha na yeye kujiuwa.
Mchungaji George Abisa kutoka katika Kaunti ya Nyamira, huko nchini Kenya anadaiwa kumuua mkewe kwa kisu baada ya kugundua alimuambukiza virusi vya UKIMWI.