Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Lissu awahimiza wananchi kupiga kura

Jumapili , 18th Oct , 2020

Zikiwa bado zimesalia siku kumi kufikia siku ya uchaguzi mkuu mgombea wa Urais  kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu, amewashukuru na kuwakumbusha wananchi wa Babati kujitokeza kwa ajili ya kupiga kura.

Mgombea wa Urais  kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu

Akihutubia umati uliojitokeza kusikiliza sera zake leo, Lissu amewashukuru wananchi hao kwa maombi, misaada pamoja na sala zao kwa kipindi chote cha miaka mitatu alichokuwa akikipitia.

"Nawashukuruni sana kwa maombi yenu, kwa misaada yenu ya kila namna,kwa sala zenu katika kipindi hiki cha miaka tatu nilichokipitia dhidi ya nyie, ndugu zangu wa Babati zimebaki siku kumi mtapiga kura katika mazingira hayahaya" alisema Lissu

Aidha Lissu, ameendelea kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura ifikapo tarehe 28 mwezi huu huku akiainisha baadhi matukio ambayo hutokea katika siku ya uchaguzi ikiwemo ya mawakala kutokuruhisiwa kuingia vituoni ambapo amesema kwa mwaka huu kwa mujibu wa kanuni za Tume ya Taifa ya Uchaguzi barua ya utambulisho wa mawakala zitapelekwa na Mkurungenzi wa uchaguzi katika vituo.

Leo Lissu anaendelea na mikutano ya kampeni za Urais mkoani Manyara na Arusha ambapao ataendelea kunadi sera zake.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda