Jumanne , 13th Dec , 2016

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amezinyooshea mikono tuzo za EATv na kukiri kuwa hizo ndizo tuzo kubwa ambazo zinaandaliwa nchini Tanzania kwa mara ya kwanza.

Waziri Nape Nnauye alipopanda jukwaani kutoa tuzo ya heshima

Nape aliyekuwa mgeni rasmi katika tuzo hizo na kupata fursa na kukabidhi tuzo ya heshima kwa DJ Bonny Love, amesema kwa uzoefu wake ndani na nje ya nchi, hii ni mara yake ya kwanza kushuhudia tuzo zenye viwango vya aina yake na kuipongeza EATV kwa kazi nzuri.

Msikilize hapa Waziri Nape alipokuwa katika VVIP Interview:- 

Tags: